P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sunday at 11:16 AM #1 Wakuu, mtoto wa miezi minne anatakiwa anywe at least kiasi gani cha ujazo wa maziwa ya mama kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tisa mchana. Tunatumia chuchu za watoto
Wakuu, mtoto wa miezi minne anatakiwa anywe at least kiasi gani cha ujazo wa maziwa ya mama kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tisa mchana. Tunatumia chuchu za watoto