Mtoto kucheka usingizini ina maana gani?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habarini!


Nashuhudia hii tabia ya haka katoto kangu ka miezi mi5 ya kuchekacheka na kutabasamu kila anapokuwa amelala. Amekuwa na tabia tangu mapema sana, yaani tangu alipokuwa na mwezi mmoja. Ni mara chache ameonyesha hali ya kama kutaka kulia hivi.


Wazazi wazoefu na wajuzi, hii ina maana gani?


 
 
Back
Top Bottom