Kichwa cha uume kuwa chekundu ni ugonjwa gani huu

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nikitoka kufanya mapenzi na manzi yangu kichwa cha uume wangu kinakuwa chekundu sana saa zingine nikienda tu haja ndogo.


Nilienda hosptal wakasema nina UTI sugu maana muda uliopita nilikwenda baada ya kuona nakojoa vitone vitone vyeupe kama maziwa yaani nikianza tu kukojoa natokwa na hiyo nyeupe nyeupe.


Kwanza hospital nilifanyiwa vipimo wakasema nina UTI sugu nikapewa dawa dozi ya vidonge vya siku 5 nilimeza nikawa sikojoi tena ile kitu kama usaha ila kwa mbali sana ikapungua nilikua nawashwa na sehemu za siri makende (p-u-m-b-u).


Muwasho ukapotea baada ya kumeza hizo dawa shida ni hii wekundu wa kwenye head ya penis inanipa shida leo mpenzi wangu baada ya kukutana naye kimwili kaniiza kwanini penis head yangu ni nyekundu namna hiyo hiri ni tatizo gani bandugu?


Mnipe ushauri na mawazo samahanini kwa maandiko yangu mabaya


Sent using Jamii Forums mobile app


 
 
Back
Top Bottom