Nawezaji kujua kama mtoto ni mrefu au mfupi

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wana JF najisikia raha kuwepo kwa JF imenisaidia mambo mengi sana na uhakika hata kwenye hili nitapata suluhu yake.

Kunauwezekano wa kujua kama mtoto wa miezi mitatu ni mrefu au mfupi?

Karibuni kwa michango


 
 
Back
Top Bottom