- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Ama kwa hakika awamu hii inasikitisha mno! Kulikuwa kuna juhudi zilizofanyika ili game ya Simba vs Nkana ichezwe jumamosi au jumatatu ili kuwapa nafasi Watanzania wengi kuhudhuria mapokezi ya ndege mpya, hata hivyo juhudi zao ziligonga mwamba baada ya jambo hili kuwa nje ya uwezo wa TFF.
Kama walitaka hivyo kwanini wasingeahirisha mapokezi ya ndege, hivi hapa ndiyo tulipofikia kweli?
Kama walitaka hivyo kwanini wasingeahirisha mapokezi ya ndege, hivi hapa ndiyo tulipofikia kweli?