P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sunday at 10:35 AM #1 Dstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?
Dstv wameshaanza kutangaza kurusha mechi zote 64 za kombe l dunia. Hawa wenzetu wa AzamTv naona mpaka leo wapo kimya, je watarusha mechi zote 64 au watatupa mgao wa mechi kama tanesco ya kipara?