Pep Guardiola: Huwa nacheka sana wakisema Ronaldo anahama club kutafuta ili changamoto

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Maoni ya Pep Guardiola juu ya Cristiano Ronaldo kushinda taji la EPL, La Liga na serie A:


"Hakuna cha kushangaza juu ya hilo, Danilo alishinda EPL na sisi (Manchester), Kashinda la liga na Madrid na akashinda Serie A na Juventus.... Ikiwa unachukua mchezaji kutoka ligi ya chini zaidi duniani na unampeleka Juventus, ninaweza kukuhakikishia msimu ujao atakuwa na medali ya Ubingwa shingoni mwake.


"Aaron Ramsey alijiunga na Juventus msimu uliopita na hivi leo ana medali, Juventus ikishinda Serie A siyo habari mpya kwetu.


"Nikisikia kuwa mchezaji anajiunga na Bayern Munich au Celtic na kusema anatafuta changamoto, nacheka maoni kama hayo."


 
 
Back
Top Bottom