- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Hi wapendwa,
Naomba kuwashirikisha jambo hili na pia kunipa ushauri shida ni nini, mimi ni kijana wa kiume, niko kwa mahusiano muda tu na nimekuwa nikishiriki tendo vzuri tu lakini imetokea hivi karibuni tu kuwa ninapomaliza kupee bao la pili kichwa kinauma balaa.
Yaani naweza shinda usiku mzima kichwa kinauma tu sasa sijajua ni nini kama kuna mtu anaweza nisaidia hapo shida nitashukuru!!
Asanteni.