- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Wana jf naomba msaada kwenu natafuta mkopo wa 10M wa riba nafuu ila nimejaribu kwenda bank zote zikanieleza ili kupata mkopo natakiwa niwe angalau nabiashara na mimi ndiyo natafuta hiyo hela nianzishe biashara nina hati ya kiwanja mbweni, hati ya gari freelender na subaru forester chochote kati ya hicho naweza kukiwekea bond, bank zote azikubali mpaka niwe na biashara.
Naomba Msaada wa kiutaalamu.
Nawakilisha
Naomba Msaada wa kiutaalamu.
Nawakilisha