Mkopo wa mil 35

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wadau, habari zenu?

Naomba mnisaidie kunijulisha ni nani anaweza kunikopesha 35, 000, 000 nitamrudishia 1, 500, 000 kila mwezi kwa miezi 30.

Sina gari, sina nyumba, sina kiwanja.


Nina kazi kama permanent employee katika International company, napata take home 4, 000, 000/= Tshs.

Kazi nimeanza mwezi huu.

Natumia Standard Chartered Bank, wanaweza kunikopesha tu endapo kampuni yangu itakuwa ilishaweka mkataba nao (unfortunately kampuni yangu haitumii bank hii), japo kampuni yangu ilisema inaweza kuipatia details bank ninayopitishia mshahara kuwa mimi ni mwajiriwa wake.


Ni fanyeje? I need some money soon!


Nataka ninunue beach plot Mtwara.


 
 
Back
Top Bottom