Napata tabu mwenzenu jaman anaeyejua suluhu ya tatizo hili anisaidie wana JF

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Ninakama miezi miwili nnatatizo la kuwashwa mbele na nyuma nawashwa sana nikajua ni fungus nimetibu sana lakin sikupona nikafanya vipimo vya cultural sensitivity dokta akanambia maji maji ambayo yanakua uken yamepungua hivyo wale bacteria rafik wameanza kunishambulia nimetumia dawa zimeisha nimekaa kama wik moja tatizo limeanza tena tafadhali nisaidieni wana jf


 
 
Back
Top Bottom