Naomba makadirio ya bati kwa nyumba hii

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nyumba imejengwa ina urefu wa 32ft by 26ft.... Imejengwa plane kwa maana ya kutokuwa na mikunjo ya nje... Anyway naomba makadirio ya mbao na bati kwa ajili ya kupaua nyumba hii, bati standard za 3feet


 
 
Back
Top Bottom