Mwenzenu kila siku mpaka nipate ndo nalala!

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Asante sana wana JF. Naomba msaada, mwenzenu kila siku lazima nifanye mapenz ndiyo najisikia vizuri, hii inatokana na nini? Na zipi athar zake kiafya? Mama watoto wangu ni mvumilivu lakini nahisi ipo siku atachoka kuvumilia. Ninapomkosa huwa napiga PUNYETO mpaka bao 2 kwa siku ili kuondoa nyege. NAOMBENI USHAURI MADAKTARI KWANI HATA MIMI SIPENDI HII HALI IENDELEE. Naona aibu kila siku! Naomba ushauri!

Nawasilisha mada!


 
 
Back
Top Bottom