P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sunday at 12:28 PM #1 Doctor naomba msaada juu ya tatizo la macho kutokuona vizuri kwa mda kama wa dakika kumi halafu baada yahapo kichwa huanza kuuma sana. Kwangu mimi limenichanganya hivyo naomba msaada wenu madaktari.
Doctor naomba msaada juu ya tatizo la macho kutokuona vizuri kwa mda kama wa dakika kumi halafu baada yahapo kichwa huanza kuuma sana. Kwangu mimi limenichanganya hivyo naomba msaada wenu madaktari.