Langa Aongelea Uteja Wake

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Msanii Langa ameelezea jinsialiyokuwa mteja kwa kipindi cha zaidi ya miaka 6, ambapo uteja ulimradhimu kukimbia nyumbani, kuwa mwizi (kibaka) mtaani na pamoja na kuishi ghetto.

Langa aliongea hayo kupitia online show ya Cheusi Dawa TV inayoongozwa na Fid Q, ni wakati sasa jamii kujua kwamba madawa yapo na yanaharibu vijana.


<span style="font-family: century gothic;"><span style="color:#0000cd;">


 
 
Back
Top Bottom