Huyu mtangazaji kusema kweli anakera sana/ anabore. Aina ya utangazaji wake ni kama ujuha. (Maulidi kitenge)

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Maulidi Kwani lazima utumie nguvu?


Hua amekua akitumia nguvu sana hasa vipindi vya asubuhi vya magazeti.


Sasa kuna video clip zake hua anazitumia instergram, akiwa anaonyesha anavyotangaza, kwa mbwembe hasira na mikogo! Wakati mwingine atishiane na mtu,


Kusema kweli anakera, punguza hayo nambo makelele yote ya nini!


Sent using Jamii Forums mobile app


 
 
Back
Top Bottom