Kwanini Nyerere aliachia madaraka mapema?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
HELO GREAT THINKERS

NAOMBENI MNIKARIBISHE HUMU LEO NIMEWEKA MAMBO YA MAPENZI PEMBENI.

NAOMBENI MNIJIBU

KWANINI MZEE WETU NYERERE ALIACHIA MADARAKA MAPEMA BAADA YA KUTOA KATIKA MIKONO YA MKOLONI?

KWANINI HAKUKAA KAMA WENZAKE kina Mugabe wanaodai hawajaona watu wenye uwezo wa kuwaachia nchi. Au mzee wetu aliona yeye hawezi tena na wanaoweza kuongoza wapo awaachie? Ni nini sababu?

Pia je alikuwa na vision gani kwa warithi wake au aliachia tu? Je hayo maamuzi yalikuwa sahihi/yalikuwa na tija kwa taifa ama? Sielewi sielewi naombeni mnijibu

Nawasilisha

Wenu mtiifu smile


 
 
Back
Top Bottom