Gaël Bigirimana akamilisha Dili la Kujiunga na Yanga SC Kutoka UK

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Gaël Bigirimana ni raia wa Burundi anayejiunga na Mabingwa wa kihistoria wa Tanzania akitokea Glentoran FC iliyopo United Kingdom.


Yanga SC wamekamilisha dili hilo kwa dau lisilowekwa bayana (undisclosed fee). Gael atajiunga na mabingwa hao kwa ajili ya msimu ujao.


Taratibu zote za Usainishaji mikataba linaendelea usiku huu hapa makao makuu ya Yanga SC.


Gael ni kiungo mchezeshaji.


 
 
Back
Top Bottom