Young Africans 4-0 Mbeya kwanza | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Mabao ya Mayele, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ na Dickson Ambundo yalitosha kuipeleka mapumziko Yanga ikiwa kifua mbele kwa mabao 3-0.


⚽️' 34, F Mayele

⚽️' 39, S Ntibazonkiza

⚽️' 44' D Ambundo.


Yanga first eleven

Diarra

Job

Bangala

Farid

Kibwana

Sureboy

Aucho

Saido

Moloko

Ambundo

Mayele

Sub: Fei, Ushindi, Makambo, Mauya, Mwamnyeto


 
 
Back
Top Bottom