What can be done to prevent our economy from collapsing?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Some few months ago (In April to be precise) I wrote this thread:


In it I asked these questions:


Na watu wengi walitoa majibu ya kina na mengine ya kudokeza. Leo hii hali ya uchumi inazidi kuwa tete hasa kama factors nyingine zote zikichukuliwa. Kwa mfano hatujui kama lile jengo la serikali lililonunliwa limenunuliwa kwa mkopo au cash na hilo la kutoa kiasi hicho cha fedha kutoka kwa Tanzani kuna athari gani katika uchumi wetu (as far as I know haikununuliwa kwa mkopo - I stand to be corrected).


Sasa katika hali inayoendelea sasa hivi kweli kuna namna yoyote ya kuokoa uchumi au ndiyo kama wenzentu wanavyosema finally the "the chickens are coming home to roost".


Je ndiyo wakati wa CCM na serikali yake kujikuta wanalazimishwa kulipa gharama ya sera na utendaji wao? Je ndiyo wakati ambapo Tanzania hatimaye itajikuta inalazimishwa kulipa gharama ya kuruhusu mfumo wa utawala wa kifisadi? Je, nani ataitwa kuikoa Tanzania endapo uchumi utaanza kuwa vurugu hasa bidhaa za kila siku (vitunguu, nyanya, mikate n. K) zitakapoonekana kuwa ni za juu kuliko uwezo wa watu wetu wengi?


 
 
Back
Top Bottom