Watalaam wa Kilimo

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari ya asubuhi wakuu,


Jamani naomba kuuliza; hivi watalaam wa kilimo (Farm Manager/Bwana au Bibi shamba) wanalipwa mshahara kiasi gani? Mwenye diploma au certificate, ninauliza kwa kuwa nipo kwenye kilimo na kadri siku zinavyoongezeka natamani kulima kisasa zaidi hivyo ninahitaji kuajiri full time employee ila sijui scale zao za mshahara.


Naomba majibu wakuu


 
 
Back
Top Bottom