- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Nawaona ndugu zetu hawa wa jamii ya Kikinga katika mikutano yao ya pamoja ya kimkakati juu ya jinsi gani watafanya biashara ambayo itawaletea utajirisho mkubwa katika vikao vyao mbalimbali sehemu mbalimbali hapa jijini Dar es Salaam (Bungoni na Tabata) ndani ya mahoteli nadhifu sana na ya kisasa.
Wana mifuko ya kusaidiana kimitaji wana kamati zenye upendo wa ajabu za kusaidiana katika kila hatua ya kibiashara na mengineyo mengi tu mazuri sana.
Tukijia upande wa pili wa ndugu zetu zetu Wachagga leo hii wamekuwa hawana umoja tena wa kusaidiana kibiashara kila mmoja anakufa kivyake umoja zaidi wameupeleka kwenye kuzikana na harusi.
Huku kila mmoja akiuonyesha ufahari wake ya kwamba yeye ni nani hapa Dar es Salaam, forensic za kibiashara wameziacha kila mmoja afe kivyake hakika hili ni anguko kuu kwa jamii hii iliyokuwa na wafanya biashara mashuhuri.