Viwanda hai mikoa ya Iringa na Mbeya

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wapendwa nimatumaini yangu, niwazima wa afya.

Naomba msaada kwa wanyeji wamikoa ya Iringa na mbeya.

Kuhusu viwanda vilivyo hai hadi sasa.


Itanisaidia katika utafiti wangu ninaoufanya kwa sasa. Naombeni sana msaada wenu.

Natanguliz shukrani.


 
 
Back
Top Bottom