Uzalishaji na biashara ya mchele EA

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
According to USDA uzalishaji wa mpunga(mchele) EA 2012 ni kama ifatwavyo(Tonnes)


Kenya 120, 000 (79, 000)

Tanzania 1500, 000(990, 000)

Uganda 233, 000(151, 000)

Rwanda 85, 000(55, 000)


Kwa mujibu wa ripoti hii Kenya inaagiza/import zaidi ya tani 300, 000 za mchele kutoka Asia. Tanzania ipo njiani kujitosheleza katika uzalishaji wa mpunga. Siyo siri mchele wa TZ upo in demand kutokana na ladha /quality nzuri. Swali kwa wazoefu wa biashara ya mchele ni nini kikwazo/vikwazo biashara ya mchele kati ya nchi za Afrika Mashariki.


 
 
Back
Top Bottom