UEFA 2019/20: Samatta uso kwa uso na Van Dijk. Real Madrid kundi moja na PSG huku Man. City ikipewa kundi mteremko. Van Dijk mchezaji bora wa UEFA

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Droo ya kupanga makundi kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) 2019/20 kuchezeshwa leo Agosti 29, 2019 huko Grimaldi Forum, Monaco kuanzia saa 18: 00 CET (Saa mbili usiku kwa majira ya Afrika Mashariki


Timu zinazoshiriki droo hiyo


Matokeo ya Droo iliyochezeshwa leo ni kama yaonekanavyo hapo chini


Wafuatao ni washindi watakaotangazwa katika hafla hizo


Mchezaji bora wa UEFA wa kiume wa mwaka 2018/19 - Virgil van Dijk


Mchezaji bora wa UEFA wa kike wa mwaka - Lucy Bronze


Golikipa bora wa UEFA wa msimu wa 2018/19 - Alisson Becker (Liverpool)


Beki bora wa UEFA wa msimu wa 2018/19 - Virgil van Dijk (Liverpool)


Kiungo bora wa UEFA wa msimu wa 2018/19 - Frankie De Jong (Ajax)


Mshambuliaji bora wa UEFA wa msimu 2018/19 - Lionel Messi (Barcelona)


Kalenda ya msimu

17/18 Septemba: hatua ya makundi, mechi ya kwanza

1/2 Oktoba: hatua ya makundi, mechi ya pili

22/23 Oktoba: hatua ya makundi, mechi ya tatu

5/6 Novemba: hatua ya makundi, mechi ya nne

26/27 Novemba: hatua ya makundi, mechi ya tano

10/11 Disemba: hatua ya makundi, mechi ya sita


16 Desemba: Droo ya mzunguko wa 16 bora


18/19/25/26 Februari: mzunguko wa 16, mechi ya kwanza

10/11/17/18 Machi: mzunguko wa 16, mechi ya pili


20 Machi: droo ya robo fainali na nusu finali


7/8 Aprili: robo finali, mechi ya kwanza

14/15 Aprili: robo fainali, mechi ya kwanza

28/29 Aprili: nusu fainali, mechi ya kwanza

5/6 Mei: nusu fainali, mechi ya kwanza


Jumamosi tarehe30 Mei: Fainali – Atatürk Olimpiyat Stadı, Istanbul


 
 
Back
Top Bottom