- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Wana jamvi leo nawaletea stori ya maisha niliyopitia, harakati za maisha, mapenzi, uonevu fitina na uchawi vyote utavipata hapa, ni true stori, lakini majini ya vijiji na watu nitabadilsha kwa ajili ya usalama wangu, karibuni.