Sep 6, 2026 at 11:05 AM#1Wakuu naomba kufahamu ni wapi lilipo soko la ulezi na bei ni sh ngapi kwa gunia. Kuna jamaa yangu ana gunia kama 70 hivi kule Singida anahitaji kuuza. Naomba kuwasilisha. No reactions yetReply / React