P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sunday at 2:05 PM #1 Wakuu naomba kufahamu ni wapi lilipo soko la ulezi na bei ni sh ngapi kwa gunia. Kuna jamaa yangu ana gunia kama 70 hivi kule Singida anahitaji kuuza. Naomba kuwasilisha.
Wakuu naomba kufahamu ni wapi lilipo soko la ulezi na bei ni sh ngapi kwa gunia. Kuna jamaa yangu ana gunia kama 70 hivi kule Singida anahitaji kuuza. Naomba kuwasilisha.