Soko la mboga mboga juu

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kama wewe ni mkulima au mfanya biashara wa mboga mboga.. Cabbage, sukuma wiki, Chinese nakadhalika... Huu ndo mda wako wa kupiga hela kama wale wazee wa kubet... Sijui wale vegetarian wameongezeka au ni lile somo la eat healthy limewakolea...


 
 
Back
Top Bottom