Series ya intelligencia ya Bongo

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nataka nitengeneze series Kali ya Kiintelligencia ya kibongo!! Iwe HD na yenye Technologia ya hali ya juu!!


Lakini nilitaka ushauri nifanyeje jinsi ya kuuza hyo series baada ya kuimaliza niweze pata faida kama series za nje nisiishie kupeleka kwa mhindi ikanikata!!


Ushauri juu ya wasanii!!

Je nichukue wasanii gani

Ray, Lulu, wema, hemedi, Gabo, Kajala


Nataka wataofanya series iwe maarufu na jina kwa faida zaidi!!


Kwa ushauri wowote karibuni wadau


 
 
Back
Top Bottom