Nina milioni 1 nifanye biashara gani kwa siku nipate 12, 0000/= faida?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari za majukumu ndugu zangu kijana mwenzenu nipo mbele yenu kwa ushauri wenu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni mkazi wa Dar maeno ya Kitunda umri wangu 27


Mama yangu kanipa milioni 1 nifanye biashara ambayo itanipa faida ya kukizi mahitaji yangu madogo.


Naombeni ushauri wenu ni biashara gani naweza fanya hapa Dar.


Michango ya wadau


Unashauriwa kusoma nyuzi hizi

1. Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?


2. Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)


 
 
Back
Top Bottom