Ndo Projects za Graduates? Matikiti Mengi Sana Dar es Salaam yanapatikana kwa Sh.300/=

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wakuu nimeshangaa bei ya Matikiti Jana nilivyopita Sokoni na Kununua Tikiti kubwa kwa Tsh. 300/= tofauti na Maneno Mengi ya Kwenye Keyboard yanayosimuliwa na watu wengi ambao wamezaliwa Dar es Salaam ambako hakuna Shamba.


Tukitaka kutoka tufanye Kilimo kwa timing Ikiwemo Mazao ambayo unaweza kuhifadhi hata kama hauna Mteja Matikiti nyanya, Nanasi na Mbogamboga ni Vigumu sana kuyahifadhi.


Supply > Demand = Low Price


 
 
Back
Top Bottom