- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Nipo Dar es Salaam, nataka kufuga punda. Naombeni mwenye kujua wapi nitawapata kama watatu(3) na bei yake ili tufanye mchakato wa kuwapeleka kwenye boma langu.
Asanteni sana bandugu!
Asanteni sana bandugu!