Natafuta nondo, flat bar, metal sheet, square pipes

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wakubwa,

Natafuta vifaa vilivyo kwenye kichwa cha tangazo hili kwa ajili ya matengenezo ya ma- gate. Hivi vitu vipo mtaani lakini natafuta unafuu wa bei. Kama unajua unavyo kwa bei nzuri ni- pm au kwa faida ya wengine unaweza kuweka namba yako hapa. Asante sana.


 
 
Back
Top Bottom