- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
POSTED WEDNESDAY, NOVEMBER 20, 2013 | BY- YVONE KAWIRA
Nairobi to host US's Power Africa project
Nairobi will host the regional headquarters of an initiative led by US President Barack Obama to
By YVONE KAWIRA
Nairobi to host US
MY TAKE
Hii imekaa vipi? Au Kikwete anaendelea tu kukosa maarifa bila kuwekeza kwenye elimu na miundombinu? Ni wakati wa Kikwete kujiuliza Nairobi inaipita wapi Arusha au Dar es Salaam kwenye kuvutia taasisi hizi muhimu za kifedha?
Jibu ni serikali ya Kikwete haina mbele wala nyuma katika kuwekeza katika kuifanya Dar kitovu cha ukanda huu haswa kwenye rasilimali watu na miundombinu haswa shirika la ndege madhubuti litakalorahisisha muingiliano mzuri unaotokana na shughuli za taasisi zenye utegemezi nje ya nchi!
Tutaendelea kukirimu Marais waje wapige saini magogoni lakini ofisi zipelekwe nje tukibaki kukosa fursa zitokanazo na uwepo wa ofisi hizo! Au tutaendelea kutumika katika kuiringishia Kenya na kubaki watupu maana hatujui ku-lobby ilitakiwa baada ya saini ya Obama on Power Africa Kikwete atume ujumbe kuhakikisha na ofisi zinakuwepo hapa Tanzania na si kuridhika na ujio tu!
Kiukweli Arusha inaweza kwenda sambamba na Nairobi kama jiji lile likiwezeshwa ipasavyo kimiundombinu maana mbali na hali ya hewa (kigezo cha Wamagharibi kuipenda Nairobi), ukaribu na Nairobi uoto asili vinaweza kuiweka Arusha katika nafasi bora zaidi ya kiushindani ukilinganisha na Dar au Mwanza. Hime sasa tuamke tujaribu kufanya Arusha kuwa kitovu cha biashara na fedha!