Nahitaji ushauri/msaada wa biashara ya karanga na masoko yake

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wana JF naomba msaada wenu.

Ninafanya utafiti wa biashara ya kutengeneza siagi ya karanga. Nimerithi mashine ya kutengeneza peanut butter ila sina ujuzi wa soko hasa la Dar es Salaam. Mimi naishi hapa Dar.


Naomba mtu yeyote anayeujuzi wa hii biashara anisaidie kujua yafatayo;

1. Wapi nitapata Karanga zenye mafuta mengi

2. Bei ya Karanga

3. Wapi nitapata kopo za plastiki za ku-pack peanut butter

4. Bei la soko

5. Suggestions za marketing


Natanguliza shukurani.


==========MASWALI MENGINE KUHUSU BIASHARA HII=====

Atupele tall ameuliza

Habari zenu wanajamvi natumaini ni wazima,

Samahani mimi nahitaji kujua na kupata ushauri pia kwa wazoefu wa biashara sana sana katika zao la karanga.


1. Njia nzuri ni ipi kwa mfano ukiwa na mtaji wa 5mil na ukaamua kulima karanga au ukiwa na mtaji wa 5mil na ukaamua kununua kusubiri wakulima wakime halafu kununua na kuifadhi na badae kuyauza?


2. Ni aina gani ya karanga ambazo ni nzuri na ambazo zina soko zuri?

3. Soko zuri la karanga?


================================================

MAJIBU YA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
 
Back
Top Bottom