Sep 5, 2026 at 5:17 PM#1Habari wadau, natafuta machine ya kutengeneza chalk Kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutengeneza chalk na kuuza, mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie kupata machine na ushauri wa biashara yenyewe. No reactions yetReply / React