P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sep 5, 2026 #1 Habari wadau, natafuta machine ya kutengeneza chalk Kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutengeneza chalk na kuuza, mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie kupata machine na ushauri wa biashara yenyewe.
Habari wadau, natafuta machine ya kutengeneza chalk Kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutengeneza chalk na kuuza, mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie kupata machine na ushauri wa biashara yenyewe.