Mvumbasi Dawa inayotibu magonjwa mengi

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 3:51 AMReplies 0 · Views 5
#1
, nimekua nikiskia mmea huu unaojulikana kwa jina la mvumbasi hutibu magonjwa mengi, je kunaukweli wowote kuhusiana na tetesi hizo??? Naomba mtufahamishe unatibu nini na maandalizi yake yako vip ktk kila kutibu magonjwa hyo


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread