Msaada wa Vifaa vya kilimo vilivyoko kwenye Kundi la Msamaha wa Kodi(KILIMO KWANZA)

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wakuu nimeshindwa mahali pa kupata list ya mashine au aina ya Mashine za kilmo zenye msamaha wa Kodi endapo unaagiza kutoka Nje, lengo langu nilitaka kujua kama Mashine ya Vifaranga incubators imo kwenye hilo kundi au haimo


 
 
Back
Top Bottom