Msaada: Uwakala wa TANESCO kuuza LUKU

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wadau wa Biashara na Uchumi Jukwaani Asalam Waleikum,


Nikiwa Dar huwa naona vibanda vina nembo za LUKU hata kabla haya mambo ya kulipia kwa simu au maxmalipo hayajaingia. Na hata pale hizo malipo na airtel money au tigopesa na mpesa zikikosa network watu wote wanakimbilia kwenye vibanda vya LUKU. Lakini naviona Dar tu mikoani sijaviona.


Je nikitaka kufungua mikoani inawezekana?


Kwa wenye ufahamu juu ya utaratibu wa kuwa wakala wa Tanesco na faida yake kwa mapato ikoje na kadirio la mtaji pia.


Msaada wenu tafadhali.


 
 
Back
Top Bottom