Msaada: Namna ya kupata line ya Tigo Pesa, M-Pesa na Airtel Money?

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 1:47 AMReplies 0 · Views 0
#1
Wakuu hapo juu kichwa cha habari chajieleza. Naomba msaada namna ya kupata line mpya kwa ajili ya kufanya biashara. Naomba kuelewa utaratibu upoje, pia kwa mtu anayeuza naomba bei na maelekezo mengine.


Asanteni sana.


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread