Mchango wa AMNUT wakati wa kudai uhuru

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Heshima wanajamvi.


Historia ya Tanganyika kabla ya uhuru na baada ya uhuru imeacha mambo mengi mazuri ambayo si vibaya tukajaribu kuyapitia kwa faida yetu na vizazi vijavyo.


Ningependa kujuzwa mchango wa chama cha waIslam Tanganyika [AMNUT] All Muslim National of Tanganyika wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika na baada ya uhuru.



 
 
Back
Top Bottom