Matatizo ya mifupa ya miguu kuisha nguvu

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Naomba mnisaide kitu kimoja kwa sasa ni shida ya mifupa ya miguu kuisha nguvu na kuchoka hata kutembea kidogo na hata nikijaribu kuiminya miguu inauma sasa toka kwenye magoti kwenda chini.. Wataalam naomba mnisaide shida ni nini na matibabu yake ni nini hasa..


 
 
Back
Top Bottom