Marekani kupewa Kigamboni

PamojaForums · Sep 6, 2026 at 11:07 AMReplies 0 · Views 0
#1
Hivi ni kweli Wamarekani wamezawadiwa eneo la kigamboni in exchange na ujenzi wa Daraja?


Swali langu: Hivi iwapo watajenga hilo daraja, litakuwa ni kwa faida ya Watanzania au wa Marekani watakaokuwa ndiyo wakazi? Je, iwapo hao waMarekani watajenga, je wakazi Watanzania wataendelea kuvumiliwa nao kwenye majengo yao hafifu au watahamishwa?


Nawakilisha


 
No reactions yetReply / React
Continue the discussion on PamojaForumsOpen full thread