Mapendekezo ya kikosi cha leo Simba vs AS Vita

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kutokana na kasi na uwezo mkubwa wa timu ya AS Vita hasa wakiwa kwao, hiki ndiyo kikosi ambacho kitawapa tabu kikipangwa.


1) Manula

2) Mlipili

3)Bukaba

4)Juuko

5) Wawa

6) Kotei

7) Niyonzima

8) Mkude

9) Chama

10)Nicholas Gyan

11) Okwi


Supersub - Kagere akitoka Gyan. Timu itakuwa imara kwa watu wanaojua kukaba hasa pembeni kuzuia cross zao hatari sana. Hapo ulinzi ni zaidi ya ngome pale upanga lakini pia uwezo wa viungo kumiliki mpira utapunguza pressure nyingi. Gyan amecheza kama beki muda mrefu lakini ni mshambuliaji kiasilia, atasaidia timu ikielemewa lakini akipata nafasi anaweza kuwashangaza AS Vita kwa pasi ya goli au kufunga mwenyewe.


Sipendekezi Tshabalala na Gyan kucheza beki za pembeni kwa mechi yenye pressure kama hii na tena ugenini.


Mapendekezo na chagizo tu kuelekea mtanange wa leo. Mungu ibariki Simba sport club.


Sent using Jamii Forums mobile app


 
 
Back
Top Bottom