MAISHA PLUS: Yanayojiri...!

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Jana jioni wakati tunaangalia kipindi cha Maisha Plus, walionesha kuwa washiriki wawili (wote wasichana), mmoja kutoka Moro na yule wa Zanzibar walitolewa na kusindikizwa kupata usafiri wa kwenda kwao. Tulichelewa kidogo na kukuta sehemu kubwa imepita kwa hiyo hatukuona kilichotokea na kusababisha watolewe. Kama kuna mtu aliona basi tunaomba atupe habari zaidi.


 
 
Back
Top Bottom