P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sunday at 2:07 PM #1 Naona idadi ya vituo vya kuuzia petroli ambavyo wanadai wameishiwa imeongezeka sana siku hizi mbili. Nina wasiwasi wanahodhi ili wayalangue wiki ijayo kwa kisingizo cha kuadimika
Naona idadi ya vituo vya kuuzia petroli ambavyo wanadai wameishiwa imeongezeka sana siku hizi mbili. Nina wasiwasi wanahodhi ili wayalangue wiki ijayo kwa kisingizo cha kuadimika