- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Nakala hii imebeba mambo matano makubwa
1. Historia ya daraja la kigamboni
2. Ufisadi
3. Uwezo na tabia ya magufuli
4. NSSF na kutoa misaada
5. UUzwaji wanyumba za serikali
Update:
1. Imeeleweka na muanzisha thread kuwa MMKJJ hakupeleka ile nakala Mwanahalisi, mwanahalisi waliichukua nakala yake kutoka Tanzania Daima na kuifanyia editing
2. Tunajadili sasa nyumba za serikali kwa nini ziliuzwa
3. Umuhimu wa daraja la Kigamboni
My take:
Daraja la Kigamboni halina faida kwa Tanzania ya sasa inayoanzia Kigoma mpaka Dar, inayoanzia Nachingwea mpaka Biharamulo!!! Ukisasa huu tunaoutafuta hatuja tengeneza foundation yake.
Daraja hili ni mradi wa watu wachache ili watimize ndoto yao ya kijenga jiji la kimataifa! Is not ours
MODS NAOMBA TITLE YANGU YA AWALI IRUDI..... I expected this!