Kung'atwa na nyuki kwenye uume kunaukuza

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Tafiti zinaonesha wanafalme wa kale wa misri walitumia njia hii ya kung'atwa na nyuki kwenye uume ili kuweza kuukuza.

Inasadidika uking'atwa na nyuki uume utaongezeka ukubwa moja kwa moja bila kusinyaa tena pindi maumivu yatakapokuwa yamekwisha.


Naona kama hii njia inaweza kuwa sahihi kwa wale wanaotaka kuwa na 'mitambo ya kufua umeme'. Maana sumu ya nyuki inasabibisha uvimbe hivyo mifereji ya kupitisha damu kwenye uume itapanuka na Kama mnavyoelewa damu ikijaa kwenye uume ndiyo unasimama, hivyo basi kuongezeka kwa maumbile.


 
 
Back
Top Bottom